Usiruhusu Kamwe Marafiki Zako Wakawa na Ukaribu/Mazoea na Mkeo...Utachapiwa | ZamotoHabari.


Wakuu katika mambo ambayo mwanaume anapaswa kua makini nayo ni kutoruhusu ukaribu wa marafiki zake na mkeo...

Babu alinambia rafiki unaemwamini sana hata ukamchukulia kama ndugu na sehem ya familia huyo ndo unampa nafasi ya kumla kimasihara mkeo, babu yaliwahi mkuta rafikie mwarabu alomwamini sana alimchapia mkewe na hakujua mpaka mkewe alipozaa mtoto mwarabu...

Babu alinambia hii ndo aibu kubwa sana alowahi pitia katika muhula wa maisha yake na aliamua kuvunja ndoa na hakutaka tena kua na marafiki mpaka anakufa.

Hivo wakuu tuweni makini sana na marafiki zetu, ikiwezekana hata namba za wake zetu tusiruhusu wawe nazo maana ndo unaweza kua mwanzo wa fitna.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini