WAZIRI MKUU AMTEMBELEA MAMA MZAZI WA MHE. PINDA | ZamotoHabari.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Albetina Kasanga ambaye ni Mama Mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mizengo Pinda wakati alipomtembelea Bibi huyo nyumbani kwake katika kijiji cha Kibaoni Mkoani Katavi, Julai 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini