Zitto: Jeshi la Polisi na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Mwachieni Huru Nusrat | ZamotoHabari.


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amelitaka jeshi la polisi na mwendesha Mashtaka wa Serikali kumuachia huru Nusrat na wenzake.

Nusrat ambaye ni kiongozi wa Bavicha wapi gerezani siku ya nane kwa tuhuma za kuimba wimbo wa taifa huku wakipandisha bendera ya taifa.

Zitto amesema ukandamizaji wa aina hiyo inaiweka nchi sehemu mbaya.

Kiongozi huyo alianfika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa “Acheni vijana hawa wafanye shughuli zao za kisiasa kikatiba,”


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini