Balozi Mpya wa Marekani nchini Tanzania Dr. Donald Wright ajitambulisha kwa Kiswahili | ZamotoHabari.


Balozi Mpya wa Marekani nchini Tanzania,  Dr. Donald Wright ameanza kazi rasmi. Katika video hii, Balozi Wright anajitambulisha na kuainisha dira yake kwa ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania

VIDEO:



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini