Breaking News: Serikali ya Lebanon yajiuzulu Kisa Mlipuko wa Beirut | ZamotoHabari.



Waziri mkuu wa Lebanon Hassan Diab, Jumatatu usiku alitangaza kujiuzulu kwa serikali yake, kufuatia shinikizo kutoka kwa raia wa nchi hiyo, ambao wamekuwa wakishiriki maandamano kwa siku kadhaa kufuatia milipuko mikubwa mjini Beirut Jumanne wiki jana, iliyosabisha maafa na hasara kubwa.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini