Chozi la furaha la Babu Tale akipokea matokeo ya Ubunge (Video) | ZamotoHabari.



Meneja wa WCB na @diamondplatnumz ameonyesha tabasamu lake la kwanza toka afiwe na mke wake baada ya kupokea matokeo ya Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mashariki.

Alhamisi hii Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilimtangaza Hamisi Shabani Taletale maarufu kama @babutale kuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo.

VIDEO:



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini