Dude Afunguka Baada ya Ajali Mbaya iliyotaka Kuondoa uhai Wake (Video) | ZamotoHabari.


Msanii wa filamu Dude amefunguka kuzungumzia ajali mbaya ya gari aliyoipata mapema leo asubuhi wakati akijiandaa kwenda Mkoa Dodoma kwaajili ya uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Muigizaji huyo ambaye bado yupo hospitali ya Magomeni jijini Dar Es salaam, amedai aligongwa na gari la kubebea wagonjwa akiwa kwenye usafiri wa Bodaboda.

Amesema kupitia ajali hiyo mbaya ameibiwa simu pamoja na pesa.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini