Hongera Sana Suma Lee Kwa Kushikilia Msimamo Wako. Mzee Yusuph Ameshindwa Arudia Maisha ya Kidunia | ZamotoHabari.


Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya.

Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab.

Mpaka sasa aliyeweza hivyo ni Mwanamuziki Suma Lee, Aliacha mziki miaka kadhaa iliyopita na kumrudia mola wake na mpaka sasa anaendelea kukaza

Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..

We are the one,we are the children.


Tazama Wimbo wa Dini wa Suma Lee Hapa Chini:



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini