Wizara ya mambo ya nje imeeleza kundi la kwanza la Watanzania waliohitimu Udaktari nchini Cuba wanasafari leo Agosti 22 na kurejea nchini Tanzania kwa usafiri wa ndege baada ya kukwama Cuba kwasababu ya Corona.
Aidha imesema kuwa kundi hilo la watanzania litasafiri kwa ndege maalum ya Ufaransa hadi Paris, kisha kupanda ndege ya shirika la ndege ya Ethiopia Airline hadi Dar es salaam.
Biden, Harris wajipanga kumng’oa Trump
Ambapo kundi la pili la watanzania waliokwama nchini Cuba litarejea nchini tarehe 4 Septemba 2020.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA




0 Comments