Mbasha Afunguka Baada ya Kupigwa Ngwala "Nimemsamehe Adamu Mchomvu, Yote Nimemwachia Mola" | ZamotoHabari.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha amezungumza baada ya kupigwa mtama na Mtangazaji Adam Mchomvu ambapo amesema haoni kosa alilomfanyia Mchomvu mpaka ampige mbele za Watu na amejisikia vibaya sana lakini amemsamehee na amemuachia Mungu

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini