Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa Bernard Membe amewapongeza walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali kupitia chama cha mapinduzi CCM.
Membe akuishia hapo alichukua nafasi kuwapa pole wale waliokosa nafasi ya kuteuliwa na kuwkaribisha kujiunga katika chama cha ACT Wazalendo.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments