Picha mpya za Msanii Nandy zinamuonesha akiwa amevalia kama mganga wa kienyeji na inahisiwa kuwa huenda hayo ni maandalizi ya ujio wa video ya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuachia wiki hii.. je unahisi hiyo video itakuwa imebeba ujumbe gani?
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments