Nape Nnauye Atoa Mpya "Kwenye Siasa Ukiona Unapiga Kelele Hujibiwi Kinachofuata ni Majanga" | ZamotoHabari.


Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema kwenye siasa ukiona unapiga kelele hujibiwi unatakiwa kufikiri mara mbili.

Nape aliandika ujumbe huo leo katika ukurasa wake wa kijamii wa Twitter ” Ni sawa na draft ukiona unaruhusiwa kula tu, kinachofuata inawea kuwa majanga,”.

Kiongoi huyo ambaye alishawahi kuwa Katibu wa Itikati na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  aliandika ujumbe huu “Kwenye siasa ukiona unapiga kelele hujibiwa fikiri mara mbili! Ni sawa na draft ukiona unaruhusiwa kula tu, kinachofuatia inaweza kuwa ni majanga,”.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini