Shilole Aomba Radhi Sakata Lake na Snura "ila Ukweli Itabaki Pale Pale" | ZamotoHabari.


Msanii wa muziki @officialshilole ameomba radhi kwa wale waliokwazika na kauli yake dhidi ya msanii mwenzake @snuramushi ambayo aliitoa na kuzua gumzo.

Shilole amedai alikuwa anatoa dukuduku lake na alifanya hivyo ila kama kuna mtu amekwazika basi anaomba msamaha.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini