Trump aondolewa ghafla na maafisa wa 'Secret Service' baada ya mtu kupigwa risasi karibu na White House | ZamotoHabari.



Rais wa Marekani Donald Trump, Jumatatu jioni kwa ghafla aliondolewa na maafisa wanaolinda usalama wake, kutoka kwenye chumba alimokuwa akiwahutubia waandishi wa habari ndani ya Ikulu mjini Washington, kufuatia kisa cha mtu kupigwa risasi karibu na ikulu hiyo.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini