Muda wowote Wananchi watamwaga Ugali baada ya majirani zao kumwaga Mboga. Inadaiwa Klabu ya Yanga imeamua kumng’oa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba ,Senzo Mazingisa
Hakika huu ni usajili wa Kishindo na usiotabirika, muda mchache uliyopita Senzo alitangaza kujiuzulu na muda wowote ule Wananchi watautikisa usajili wa msimu huu baada ya Mnyama kufanya hivyo hapo jana.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments