Mbunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kulia) leo Agosti 25, 2020 akirudisha fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ambaye ndie msimamizi wa uchaguzi, Mhandisi Mshamu Munde.
Mgombea wa Ubunge jimbo la Mkuranga,Abdallah Hamisi Ulega akisaini fomu wakati wa kurudisha fomu za kuomba kuteuliwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,Mhandisi Mshamu Munde.
(Piha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA



0 Comments