Ummy Mwalimu Alitikisa Jiji la TANGA Akichukua Fomu ya Kugombea Ubunge | ZamotoHabari.



Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku ya jana amekabidhiwa fomu kuwania jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini