Vodacom Tanzania PLC yashinda Tuzo kwenye maonesho ya Nanenane kitaifa mkoani Simiyu | ZamotoHabari.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye hafla ya kilele cha maonesho ya nanenane mkoani Simiyu
 Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akimkabidhi kombe Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya ziwa, Ayubu Kalufya, kwenye maonesho ya nanenane katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu, baada ya kuibuka washindi wa pili wa huduma za mawasiliano, kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo Mariam Mmbaga.
 Wananchi wa kanda ya ziwa wakishuhudia matukio mbalimbali kwenye kilele cha maonesho ya nanenane mkoani Simiyu, katika viwanja vya Nyakabindi huku mabango ya Vodacom yakipepea.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini