Yanga 2-0 Aigle Noir Uwanja Wa Mkapa Global | ZamotoHabari.



MECHI ya kirafiki imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi Uwanja wa Taifa kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bao limefungwa na Tuisila Kisinda dakika ya 38.

Bao la pili la pili limefungwa kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 59



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini