Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo (Bara) Bw.Gerald Kusaya akiongea na watendaji wa mradi wa Kuimarisha Uzalishaji Mpunga (ERPP) alipokagua skimu ya umwagiliaji ya Mtwango wilaya ya Magharibi ‘B’ Zanzibar leo.Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo( Zanzibar) Bi.Maryam Abdulla.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akizungumza na waandishi wa habari mjini kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara yake kwa ushirikiano na Wizara ya Kilimo Zanzibar ikiwemo ya Kudhibiti Sumukuvu (TANIPAC) na Kuongeza Tija na uzalishaji zao la Mpunga (ERPP)





APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments