Zuchu Afanya Shoo Ya Kibabe Uwanja wa Uhuru (Picha +Video) | ZamotoHabari.


MSANII mpya ndani ya WCB, Zuchu amefanya shoo ya aina yake  katika Tamasha la Chama cha Mapinduzi (CCM) wakizindua Nyimbo za chama 109 zilizotungwa na wasanii mbalimbali nchini, ambapo hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Agosti 16, 2020.

VIDEO:



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini