Afisa wa TAKUKURU akamatwa akiomba rushwa ya Milioni 4.9 | ZamotoHabari.


Leo September 11, 2020 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamaata Ofisa wake wa uchunguzi mwandamizi, Nina Sipilon Saibul kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh.4.9 Milioni.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini