BREAKING NEWS. Wanafunzi 10 wamepoteza maisha baada ya bweni la Shule ya msingi ya Byamungu Islamic iliyoko mkoani Kagera kuteketea kwa moto

Wanafunzi 10 wamepoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa baada ya bweni la Shule ya msingi ya Byamungu Islamic iliyoko mkoani Kagera kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.



Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini