Kibanda Maiti ZANZIBAR Kesho Jumamosi Patakuwa Hapatoshi...Dkt Hussein Mwinyi Atafanya Jambo | ZamotoHabari.


Waeleze wana kuwa KibandaMaiti ZANZIBAR kuna jambo. Mjulishe mwenzako kuwa wanaCCM wana JAMBO lao na Rais wao ajaye, Mtu wa watu, Mnyenyekevu, Kijana Mchapakazi na anayekubalika Dkt Hussein Mwinyi. 

Ni kesho JUMAMOSI tarehe 12 Septemba 202O. 




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini