MHE.SAMIA SULUHU AFANYA MKUTANO WA KAMPENI MTWARA MJINI | ZamotoHabari.



Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini  alipowasili katika Viwanja vya  Sabasaba Mtwara Mjini kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 10,2020. Mkoani Mtwara.                            
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini Mkoani Mtwara leo Septemba 10,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini  wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini leo Septemba 10,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini