TAKWIMU HAZIDANGANYI, Mwinyi ni Rais Zanzibar. | ZamotoHabari.


 HAZIDANGANYI, Mwinyi ni Rais Zanzibar.

Kawaida Kura za CCM Pemba hazijawahi kuzidi 20,000 kati ya kura 125,000 zinazopigwa miaka ya 2010 na 2015, ila UMATI wa Wapemba uliojitokeza Gombani jana ni zaidi ya watu 60,000. Na mitaa yote ilikuwa ni Kijani, hii ndio kusema mwisho wa Maalim Seif umewadia na wapemba wamekuwa na Matumaini Mpya kwa Dkt Hussein Mwinyi. Ni wazi, ukweli usio na shaka yeyote kuwa kura za Dr Mwinyi Pemba ni zaidi ya 80,000 Mwaka huu. 


#YanayoNineemaTupu. 

#Ushindiwamapema

#Mwinyi2020






APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini