Wafahamu Wanandoa Waliovunja REKODI ya Kuishi Pamoja Kwa Muda Mrefu zaidi | ZamotoHabari.


Julio Mora (110) na Waldramina Quinteros (104) wameweka rekodi ya dunia baada ya kudumu kwa muda wa miaka 79 katika ndoa tangu walipooana mwaka 1941

Wazee hao raia wa Ecuador walioana kwa siri nchini Uhispania kwa kuwa familia zao hazikukubaliana na uhusiano wao. Wote ni Walimu wastaafu na wana watoto walio hai 4, wajukuu 11, vitukuu 21 na kilembwe 1

Aliyefanya watambulike na kitabu cha rekodi cha Guinness ni mtoto aliyetuma maombi ya kuwatambua na wakavunja rekodi ambayo awali ilishikiliwa na Texas Charlotte na John Henderson



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini