Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nsimbo, Mohamed Ramadhani, amemtangaza Ana Lupembe wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupata kura 38,346, akifuatiwa na Philipo Malaki wa ACT Wazalendo ambaye amepata kura 1292.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments