Ben Pol abadili dini na kuwa Mwuislam | ZamotoHabari.



Mwanamuziki wa BongoFleva Ben Pol leo Novemba 23, 2020 ametangaza kubadili  dini na kuwa muislamu

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, BenPol ameweka taarifa za picha  zilizoambatana na nakala ya cheti cha kubadilisha dini

Awali Ben Pol alikuwa akitumia jina la Bernard Paul na sasa anatambulika kama Behnam.





APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini