Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Mwanyika (CCM) kuwa mshindi wa jimbo hilo kwa kupata kura 29,553 huku mshindani wake Emmanuel Masonga (CHADEMA) akipata kura 5,940.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments