Hatma ya Diamond Platnumz, Zuchu na Rayvanny Kuwepo Kwenye Tuzo za Grammy Kujulikana Tarehe 24 Nov | ZamotoHabari.


 Waandaaji wa tuzo za GRAMMY wameweka wazi tarehe ya kutangaza vipengele na washiriki watakaowania tuzo hizo za Grammy kwa mwaka 2021


Grammy Wameitangaza November 24, 2020 Ndo Siku Rasmi Ya Kutangaza Vipengele Hivyo Ili Kuanza Mchakato Wa Upigaji Kura

na tuzo hizo zitatolewa January 31, 2021


NB: Grammy Ndo Tuzo Pekee Zenye Vipengele Vingi Duniani Vipengele zaidi ya 84



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini