Leo Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataunguruma Mkoani Manyara | ZamotoHabari.


Tukiwa na siku 3 kuelekea Jambo letu, kazi ya Kuendelea na kukutana na Wananchi wa Kila sehemu kueleza Sera na Ilani bora ya CCM inaendelea na leo Oktoba 25, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataunguruma Mkoani Manyara. Watanzania tuna Jambo Letu haswa.


#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini