Mbeya Mjini: Dkt. Tulia Ackson Atangazwa Mshindi Dhidi Ya ‘Sugu’- | ZamotoHabari.



MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini leo Oktoba 29, 2020 amemtangaza Tulia Ackson kupitia CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo, ambaye amepata kura 75,225 na kumshinda aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi aliyepata kura 37,561



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini