NI ASKOFU GWAJIMA JIMBO LA KAWE | ZamotoHabari.

 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee (CHADEMA) mwenye kura 32,524.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini