Priscus Tarimo (CCM) Ashinda Ubunge Jimbo la Moshi Mjini | ZamotoHabari.

 


 Mgombea wa CCM, Priscus Tarimo ameshinda ubunge Jimbo la Moshi Mjini kwa kupata kura 31,169 akifuatiwa na Raymond Mboya (CHADEMA) aliyepata kura 22,555.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini