Producer Luffa Afunguka GONJWA Lililokuwa Linamsumbua | ZamotoHabari.


Mtayarishaji wa muziki hapa nchini, Luffa amefunguka mengi juu ya kuumwa kwake, kwenye mahojiano na Planet Bongo ya East Africa Radio leo amesema

"Niliumwa kama miezi 8, nilikuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa 'Appendix' na pafu moja lilikuwa limejaa maji ila namshukuru Mungu sasa hivi nime-recover" - Producer Luffa



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini