Msimamizi wa uchaguzi katika jimbo la singida mjini amemtangaza Ramadhani Sima wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 23,220 akifuatiwa na Rehema Nkoha wa Chadema aliyepata kura 15,467
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments