Reuben Kwagilwa CCM ashinda ubunge jimbo la Handeni | ZamotoHabari.



Reuben Kwagilwa CCM ametangazwa kushinda ubunge jimbo la Handeni kwa kura 15,241 sawa na asilimia 67 dhidi ya wapinzani wake Sonia Magogo CUF amepata kura 6,713 ADC Twaha Said amepata kura 310, James Stima Chadema amepata kura 296 na Makame Semndili TLP amepata kura 31




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini