Mpanda Mjini: Mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sebastian Kapufi ameshinda nafasi ya Ubunge kwa kupata kura 24,020, akifuatiwa na Rhoda Kunchela wa Chadema aliyepata kura 13,611
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments