Harmonize: Nenda Afrika Kusini ukisikia ngoma yoyote ya Tanzania inapigwa njoo ntakupa mil 5 | ZamotoHabari.



Harmonize ameongeza kuwa “South Afrika ni masaa matatu tu kutoka Tanzania lakini niamini mimi nenda halafu nakupa mwezi mmoja uzunguke clubs zote, ukisikia muziki wa Tanzania unapigwa njoo ntakupa mil 5 konde gang HQ, hebu turudi shule kwanza naamini muda bado tunao”





APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini