Maxence wa Jamii Forums Hana Hatia Kutosajili Jamii Forums Kwa Kikoa cha Co.tz...Achiwa Huru | ZamotoHabari.

 


Katika shitaka la kwanza la kutosajili JamiiForums kwa kikoa cha DO-TZ, Maxence amekutwa hana hatia


Katika shtaka la pili, Mahakama imemkuta na hatia na kumuachia kwa masharti ya kutofanya kosa kama hilo kwa muda wa mwaka mmoja


Shitaka la pili lilihusisha Jeshi la Polisi kumtaka Maxence Melo kutoa taarifa za wanachama wa JamiiForums waliofichua uhalifu uliofanywa na baadhi ya wafanyakazi wa CRDB


Mshitakiwa namba mbili, Mike Mushi amekutwa hana hatia makosa yote Mawili. Hakimu Huruma amesema, Mshitakiwa huyo alikuwa kama Msindikizaji kwenye hii kesi



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini