Msanii Davido Afanikiwa Kubadili Jina Lake Instagram Kutoka Davidoofficial na Kuwa Davido Baada ya Kushindwa Kwa Muda Mrefu | ZamotoHabari.


Msanii wa Muziki kutoka Nigeria Davido Amebadilisha jina lake (Username) katika Mtandao wa Instagram kutoka jina alilokuwa akilitumia mwanzo yaani davidoofficial na sasa anatumia @davido

@davido amefanikiwa kupata Username ya jina lake baada ya Kushindwa kutumia jina hilo kutokana na kutumiwa na mtu mwingine



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini