MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA | ZamotoHabari.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa chama
hicho Tawala (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri kuu ya CCM Kakamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally wakitoka katika kikao cha Kamati
Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM jijini Dodoma Alhamisi Novemba 19, 2020 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  CCM  jijini Dodoma
Alhamisi Novemba 19, 2020



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini