TMA yataja Mikoa hii 6, Ambayo Mvua Kubwa zitanyesha Kwa Siku Tatu Mfululizo | ZamotoHabari.

 


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha siku tatu mfululizo kuanzia Novemba 8, hadi Novemba 10, 2020.

 

Maeneo yanayotakiwa kuwa na tahadhari kubwa ni Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba.


Athari zinazoweza kujitokeza ni mafuriko kwenye makazi ya watu, baadhi ya barabara kufungwa na shughuli za kiuchumi kusimama.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini