VIDEO: Machafuko Uganda, Risasi, Mabomu vyarindima, Wanamtaka Bobi Wine | ZamotoHabari.

 


Waandamanaji wameibuka Jijini Kampala nchini Uganda baada ya Polisi kumkamata Mgombea Urais, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine akiwa anaendelea na Kampeni.


Watu kadhaa wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya Polisi kujaribu kuzuia maandamano hayo kwa risasi za moto na mabomu ya machozi.


Waandamanaji waliziba njia na kuchoma matairi mara baada ya kupata taarifa za kukamatwa kwa Bobi Wine, waandamanaji wengine walionekana wakichana picha ya Rais Yoweri Museveni.


VIDEO:




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini