Wagombea wa urais Uganda wasitisha kampeni hadi Bobi Wine aachiliwe huru | ZamotoHabari.



Wagombea wakuu wa urais kupitia vyama vya upinzani nchini Uganda wametangaza kusitisha kampeni zao hadi pale mgombea mwenzao Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine atakapoachiliwa na polisi.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini