WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAFUNZO | ZamotoHabari.

 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Y. Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea  Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson  na kulia ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akizungumza wakati wa  mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea  Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Pius Mswekwa akitoa mada wakati wa mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea  Bungeni Jijini Dodoma.  Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Anne Makinda akitoa mada wakati wa  mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea  Bungeni Jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali, Wilbert Ibuge akitoa mada wakati wa  mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea  Bungeni Jijini Dodoma.

 PICHA NA BUNGE



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini