Watu 13 Wafariki Kwa Kushambuliwa na Tembo...... | ZamotoHabari.

 


Watu 3 wameuawa kwa kushambuliwa na Tembo huku 1 akijeruhiwa katika vijiji vya Mindu na Tulieni Wilayani Tunduru

 

Afisa Wanyamapori wa Wilaya, Ally Mbega Ally amesema waliofariki ni Jamili Mchopa (47), Justine Mchopa(54) na Stephano Joseph(78)

 

Marehemu waliwazingira Tembo wakati wakinywa maji katika Bwawa lililopo kijijini hapo. Aliyejeruhiwa ametambulika kwa jina moja la Zuberi



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini