Balaa la Njaa....Watu Milioni 1.5 Wanakula Mchanga Uliochanganywa na Ukwaju | ZamotoHabari.

 


Shirika la Chakula Duniani (WFP) limesema Watu milioni 1.5 Kusini mwa #Madagascar wanahitaji msaada wa dharura wa chakula


Hali hiyo imetokana na kipindi cha kiangazi ambacho kimeathiri Mazao yanayotegemewa nchini humo kiasi cha Watu kula mchanga uliochanganywa na Ukwaju


Wananchi wamesema hawatafuti tena chakula bali wanatafuta mbinu ya kupata chochote cha kushikilia tumbo




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini